Nenda kwa yaliyomo

Stephen Brislin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Stephen Brislin (amezaliwa 24 Septemba 1956) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Afrika Kusini. Alikuwa Askofu Mkuu wa Cape Town kuanzia 2010 hadi 2024.

Papa Fransisko alimteua kuwa Kardinali tarehe 30 Septemba 2023, na tarehe 24 Oktoba 2024 aliteuliwa kuwa Askofu Mkuu wa Johannesburg.[1]

  1. (in it) Rinunce e Nomine (Press release). Holy See Press Office. 18 December 2009. https://press.vatican.va/content/salastampa/it/bollettino/pubblico/2009/12/18/0797/01903.html. Retrieved 10 July 2023.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.