Stepan Zhiryakov
Mandhari
Stepan Mikhailovich Zhiryakov (Kirusi: Степан Михайлович Жиряков; 2 Machi 1948 – 28 Julai 2025) alikuwa mwanasiasa wa Urusi. Alihudumu kama Baraza la Shirikisho (Urusi)|Seneta wa Urusi kutoka Zabaykalsky Krai kuanzia mwaka 2013 hadi 2018.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Сенатор от Забайкалья Жиряков не будет переизбран в Совет Федерации - ТАСС". TACC (kwa Kirusi). Iliwekwa mnamo 2025-07-28.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Stepan Zhiryakov kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
[[Jamii:Historia ya Urusi]