Stella Engama
Mandhari
Stella Engama (jina kamili: Stella Irène Virginie Engama; Yaoundé, entre Region, Kamerun, 25 Februari 1955) ni mwalimu, mtafiti, mwandishi wa riwaya na wa tamthilia, pia mshairi kutoka Kamerun. Ni mratibu wa tuzo ya fasihi inayobeba jina la taasisi ya Engama Foundation, na mwanzilishi wa shule kadhaa, kituo cha kitamaduni, pamoja na Chama cha Marafiki wa fasihi (SAL).
Maisha ya awali na Elimu
[hariri | hariri chanzo]Stella alizaliwa ni mtoto wa nne kati ya watoto kumi na sita. Mwaka 1973 alipita mtihani wa Baccalaureat G1kwa heshima ya juu katika Shule ya Ufundi ya juu ya Yaounde. Mwaka 1978 alipata Shahada ya Uzamili katika Sheria Binafsi katika Chuo kikuu cha Yaounde. Mwaka 1983, alipata Diploma ya masomo ya juu (DEA) katika Sheria ya Biashara katika Chuo kikuu cha Paris II.[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Stella Engama kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |