Nenda kwa yaliyomo

Stella Atal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Stella Atal ni mchoraji na mbunifu wa mitindo wa Uganda, ambaye ni mwanzilishi, mmiliki na mtendaji mkuu wa Atal Stella Fashion House, yenye maeneo mjini Paris, Ufaransa [1].

Maisha ya awali na elimu

[hariri | hariri chanzo]

Alizaliwa katika Mkoa wa Kaskazini, Uganda, kando ya mwambao wa Ziwa Kyoga. Stella alianza masomo yake huko Kampala, mji mkuu wa Uganda. Baadae alihamia Kenya kuendelea na masomo yake, hatimaye alihitimu elimu yake huko nchini Uingereza. Stella ana shahada ya kwanza na shahada ya uzamili katika Sanaa ya mitindo na uchoraji.[2][3]

  1. Samson Baranga (4 Januari 2018). "Fashion designer Stella Atal flying Uganda's flag". The Observer (Uganda). Kampala. Iliwekwa mnamo 29 Machi 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Ugandan Diaspora Team (22 Desemba 2011). "Ugandan Diaspora Social Networking Event ~ Showcasing Ugandan Fashion Designer ~ Stella Atal". Boston: Ugandandiaspora.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-03-29. Iliwekwa mnamo 29 Machi 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Walter (14 Oktoba 2015). "A Look At Stella Atal's Fashion Career". Kampala: Chanos8.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-03-29. Iliwekwa mnamo 29 Machi 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)