Nenda kwa yaliyomo

Stefano Gobbi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Stefano Gobbi (22 Machi 193029 Juni 2011) alikuwa padre wa Kanisa Katoliki kutoka Italia.

Alianzisha harakati ya Kikatoliki ya kimataifa, Ujumbe wa Maria kwa Mapadri, kufuatia kile alichoripoti kama sauti ya ndani mwaka 1972 katika patakatifu pa Bikira Maria wa Fatima.[1]

  1. "Marian Movement of Priests". www.ewtn.com. Iliwekwa mnamo 16 Oktoba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.