Stefan Wyszyński
Mandhari
Stefan Wyszyński (3 Agosti 1901 – 28 Mei 1981) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki la Polandi ambaye alihudumu kama Askofu Mkuu wa Warsaw na Askofu Mkuu wa Gniezno kuanzia 1948 hadi 1981. Kabla ya hapo, alihudumu kama Askofu wa Lublin kuanzia 1946 hadi 1948. Alifanywa kuwa kardinali tarehe 12 Januari 1953 na Papa Pius XII
Kama Askofu Mkuu wa Gniezno, Wyszyński alikuwa na cheo cha "Primate wa Poland."[1]

Marejeo
[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Ficek, Ryszard (2021). "The Włocławek Period of Fr. Stefan Wyszyński's Pastoral Ministry: Presbyterate and The Time of Priestly-Spiritual Leadership (Part 2)". Resovia Sacra. 28: 60. doi:10.52097/rs.2021.57-74. S2CID 248080544.
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |