Stefan Löfven

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kjell Stefan Löfven (amezaliwa 21 Julai 1957) ni mwanasiasa wa Uswidi anayehudumu kama Waziri Mkuu wa Uswidi tangu mwaka 2014 na Kiongozi wa Chama cha Kidemokrasia cha Jamii cha Uswidi tangu mwaka 2012.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stefan Löfven kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.