Stefan Effenberg
Mandhari
Stefan Effenberg ( alizaliwa 2 Agosti 1968) ni mchambuzi wa mpira wa miguu kutoka Ujerumani na mchezaji wa zamani wa kulipwa.
Akiwa kiungo, alijulikana kwa uongozi wake, uwezo wa kupiga pasi za mbali, uwezo wa kufunga, na nguvu za mwili, lakini pia alikuwa mtu mwenye hasira na aliyejihusisha na migogoro mara kwa mara.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Fearon, Matthew (25 Machi 2009). "Dream Teams: Bayern Munich". The Independent. UK. Iliwekwa mnamo 2 Aprili 2011.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Stefan Effenberg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |