Takwimu za Norwei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Statistics Norway)
Maktaba ya Takwimu za Norwei.

Takwimu za Norwei (Kinorwei: Statistisk sentralbyrå, au Statistics Norway - kwa kifupi huitwa SSB) ni ofisi ya kutoa takwimu za Norwei. Ofisi ilianzishwa mnamo mwaka wa 1876.

Ofisi inategemea wafanya kazi wapatao 1,000. Ofisi hii huchapisha matoleo mapya yapatayo 1,000 kwa kila mwaka na kuyaweka katika tovuti yake. Matoleo yote huchapishwa kwa Kinorwei na Kiingereza. Ikiwa kama kitovu rasmi cha takiwmu za kiserikali za Kinorwei, ofisi hii hutoa huduma zake za utafiti na uchambuzi kwa umma na kiserikali kwa kirefu kabisa.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Takwimu za Norwei kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.