Nenda kwa yaliyomo

Starry Lee

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Starry Lee Wai-king; alizaliwa tarehe 13 Machi 1974) ni mwanasiasa wa Hong Kong ambaye amekuwa Rais wa nne wa Baraza la Kutunga Sheria la Hong Kong tangu mwaka 2026.[1]

Tangu mwaka 2023 pia amekuwa mwakilishi pekee wa Hong Kong katika Kamati ya Kudumu ya Bunge la Kitaifa la Watu la China.[2]

  1. ["Starry) Lee Wai-king". Legislative Council of Hong Kong. Iliwekwa mnamo 11 Mei 2026. {{cite web}}: Check |url= value (help)[dead link]
  2. ["National) People's Congress of China". NPC. Iliwekwa mnamo 11 Mei 2026. {{cite web}}: Check |url= value (help)[dead link]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Starry Lee kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.