Stanislaus Tobias Magombo
Mandhari
Stanislaus Tobias Magombo (24 Februari 1968 – 6 Julai 2010) alikuwa askofu wa jimbojina la Caesarea katika Mauretania na askofu msaidizi wa Jimbo Katoliki la Lilongwe, Malawi.
Alipewa upadirisho tarehe 3 Agosti 1996 kwa Jimbo Katoliki la Dedza, Malawi, Magombo aliteuliwa kuwa askofu msaidizi wa Jimbo la Lilongwe tarehe 29 Aprili 2009 akawa rasmi askofu wa jimbo hilo tarehe 11 Julai 2009.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Literatur", Hypnosepolitik, Böhlau Verlag, ku. 311–330, 2015-08-02, ISBN 978-3-412-22446-2, iliwekwa mnamo 2025-01-31
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |