Nenda kwa yaliyomo

Stanislas Kaburungu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Stanislas Kaburungu (alizaliwa 7 Oktoba 1935 huko Gisanze) ni mchungaji kutoka Burundi na askofu wa Jimbo Katoliki la Ngozi. Aliwekwa wakfu kuwa kasisi mwaka 1961 na aliteuliwa kuwa askofu mwaka 1968. Alijizulu kutoka nafasi hiyo mwaka 2002.[1]

  1. "Bishop Stanislas Kaburungu [Catholic-Hierarchy]". www.catholic-hierarchy.org. Iliwekwa mnamo 2022-01-21.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.