Stanisław Sojka
Mandhari

Stanisław Joachim Sojka (26 Aprili 1959 – 21 Agosti 2025), alijulikana pia kama Stanisław Soyka, alikuwa mwanamuziki wa jazz, pop , mpiga piano na mtunzi kutoka Polandi. [1][2][3][4][5][6][7][8][9][10][11][12][13]
Kifo
[hariri | hariri chanzo]Sojka alifariki tarehe 21 Agosti 2025, akiwa na umri wa miaka 66.
Tuzo ya Kitaifa
[hariri | hariri chanzo]Mnamo mwaka 2009, Sojka alitunukiwa tuzo ya Knight's Cross of the Order of Polonia Restituta (Krzyż Kawalerski Orderu Odrodzenia Polski)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Stanisław Soyka nie żyje. Wielki muzyk miał 66 lat". Onet. 21 Agosti 2025. Iliwekwa mnamo 22 Agosti 2025.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "iTunes Music – Soykanova by Stanislaw Soyka". iTunes Store. Novemba 28, 2002. Iliwekwa mnamo Desemba 15, 2014.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Stanisław Soyka – "Soyka sings love songs"". onet.pl. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-04. Iliwekwa mnamo Desemba 15, 2014.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Oficjalna lista sprzedaży :: OLiS – Official Retail Sales Chart". Olis.onyx.pl. Julai 24, 2005. Iliwekwa mnamo Julai 1, 2015.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Oficjalna lista sprzedaży :: OLiS – Official Retail Sales Chart". Olis.onyx.pl. Aprili 22, 2001. Iliwekwa mnamo Julai 1, 2015.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Oficjalna lista sprzedaży :: OLiS – Official Retail Sales Chart". Olis.onyx.pl. Aprili 24, 2005. Iliwekwa mnamo Julai 1, 2015.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Oficjalna lista sprzedaży :: OLiS – Official Retail Sales Chart". Olis.onyx.pl. Oktoba 25, 2009. Iliwekwa mnamo Julai 1, 2015.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Oficjalna lista sprzedaży :: OLiS – Official Retail Sales Chart". Olis.onyx.pl. Mei 18, 2014. Iliwekwa mnamo Julai 1, 2015.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Oficjalna lista sprzedaży :: OLiS – Official Retail Sales Chart". Olis.onyx.pl. Desemba 15, 2002. Iliwekwa mnamo Julai 1, 2015.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Oficjalna lista sprzedaży :: OLiS – Official Retail Sales Chart". Olis.onyx.pl. Machi 29, 2004. Iliwekwa mnamo Julai 1, 2015.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Oficjalna lista sprzedaży :: OLiS – Official Retail Sales Chart". Olis.onyx.pl. Iliwekwa mnamo Julai 1, 2015.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Oficjalna lista sprzedaży :: OLiS – Official Retail Sales Chart". Olis.onyx.pl. Juni 19, 2011. Iliwekwa mnamo Julai 1, 2015.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Oficjalna lista sprzedaży :: OLiS – Official Retail Sales Chart". Olis.onyx.pl. Julai 29, 2012. Iliwekwa mnamo Julai 1, 2015.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Stanisław Sojka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |