Stan Kroenke
Mandhari
Enos Stanley Kroenke (Alizaliwa Julai 29, 1947) ni mfanyabiashara bilionea nchini Marekani katika sekta ya majengo (real estate) na mmiliki wa timu za michezo.[1] Yeye ni mmiliki wa Kroenke Sports & Entertainment, ambayo ni kampuni inayomiliki timu ya Arsenal FC ya Ligi Kuu Uingereza (EPL) na Arsenal Women, Los Angeles Rams ya NFL, Denver Nuggets ya NBA, Colorado Avalanche ya NHL, Colorado Rapids ya MLS, na Colorado Mammoth ya National Lacrosse League.[2] Kroenke alimuoao Ann Walton Kroenke, ambaye ni binti wa mwanzilishi mwenza wa Walmart James "Bud" Walton.[3] Mwaka 2016, alihamisha timu ya St. Louis Rams kwenda Los Angeles.[4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Stan Kroenke". Forbes. Iliwekwa mnamo 2026-04-21.
- ↑ Hurley, Lee (Agosti 8, 2018). "Stan Kroenke donated money to Clinton in race against Trump". dailycannon.com. DailyCannon. Iliwekwa mnamo 29 Mei 2020.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Stan Kroenke". Encyclopaedia Britannica. Iliwekwa mnamo 2026-04-21.
- ↑ "Rams headed back to Los Angeles". ESPN. Iliwekwa mnamo 2026-04-21.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Stan Kroenke kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |