Nenda kwa yaliyomo

Stadion Schnabelholz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Stadion Schnabelholz ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Austria. Ulizinduliwa kwenye mji wa Altach nchini Austria. Uwanja huu hutumiwa na timu ya SC Rheindorf Altach na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 8,500.[1]

  1. "CASHPOINT Arena – StadiumDB.com".
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Stadion Schnabelholz kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.