Nenda kwa yaliyomo

Stephen Yakubu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Stephen Yakubu
Amezaliwa 25 Mei 1966 (umri 59)
Nchi Ghana
Kazi yake Mwanasiasa
Elimu Kwame Nkurumah University of Science and Tachnology
Chama cha kisiasa New Patriotic Party
Watoto 1

Stephen Yakubu ni mwanasiasa na mwanadiplomasia kutoka Ghana. Aliwahi kuwa Balozi wa Ghana nchini Morocco na pia alikuwa Mbunge wa jimbo la Binduri katika Mkoa wa Upper East [1]nchini Ghana. Kwa sasa, yeye ni Waziri wa Mkoa w Upper East na pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Usalama la Mkoa.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stephen Yakubu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.