Sportklub Stadium
Mandhari
Sportklub Stadium ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Austria. Ulizinduliwa kwenye mji wa Vienna nchini Austria. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Klabu ya Michezo ya Wiener na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 7,828.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Sportklub Stadium kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |