Spider-Man 2

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Spider-Man 2 ni filamu ya kishujaa ya nchini Marekani inayohusu hadithi ya Spider-Man. Ilitungwa na Sam Raimi, Alvin Sargent, Alfred Gough, Miles Millar na Michael Chabon. Ni filamu ya pili katika mfululizo wa filamu za Spider-Man. Nyota wa filamu ni Tobey Maguire (Peter Parker au Spider-Man), pamoja na Kirsten Dunst, James Franco, Thomas Haden Church, Topher Grace, Bryce Dallas Howard, James Cromwell, Rosemary Harris na J. K. Simmon.[1][2]

Washiriki[hariri | hariri chanzo]

  • Tobey Maguire kama Peter Parker / Spider-Man
  • Kirsten Dunst kama Mary Jane Watson
  • James Franco kama Harry Osborn
  • Alfred Molina kama Dr. Otto Octavius ​​/ Doctor Octopus:
  • Rosemary Harris kama May Parker [3]
  • Donna Murphy kama Rosie Octavius

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Spider-Man 2 kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.