Nenda kwa yaliyomo

Sound of Tears

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sound of Tears ni filamu ya nchini Kanada ya mwaka 2014 iliyoandikwa na kuongozwa na mwongozaji kutokea nchini Kameruni, Dorothy A. Atabong.[1]

Amina na familia yake wameondoka mjini wakimkimbia mpenzi wake waliyetengana, Josh, lakini alifanikiwa kuwafuatilia na kuwapata.[2]

Sound of Tears ilishinda tuzo ya Filamu Fupi Bora ya Watu waishio Ughaibuni katika Tuzo za 11 za Academy ya Filamu za Afrika (AMAA) mnamo mwaka 2015. Filamu hiyo ilichaguliwa kushiriki katika Tamasha la Écrans Noirs mnamo mwaka 2016,[3] na ilishinda tuzo katika Tamasha la Kimataifa la Filamu za Picha za Wanawake (IIFF) la mwaka 2018.[4]

Waigizaji

[hariri | hariri chanzo]
  • Dorothy Atabong
  • Edsson Morales
  • Eugene Paul
  • Rhoma Spencer
  • Edgar Fraser
  • Albert Williams
  • Aisha Betham
  1. www.imdb.com https://www.imdb.com/title/tt3225764/. Iliwekwa mnamo 2026-06-15. {{cite web}}: Missing or empty |title= (help)
  2. www.imdb.com https://www.imdb.com/title/tt3225764/. Iliwekwa mnamo 2026-06-15. {{cite web}}: Missing or empty |title= (help)
  3. "La liste des 22 films Camerounais sélectionnés aux ÉCRANS NOIRS 2016 - Lebledparle" (kwa Kifaransa). 2016-06-25. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2025-02-24. Iliwekwa mnamo 2026-06-15.
  4. Beti Ellerson (2018-08-22). "AFRICAN WOMEN IN CINEMA BLOG: IIFF 2018 - International Images Film Festival for Women : Sound of Tears, Dorothy A. Atabong, Cameroon/Canada". AFRICAN WOMEN IN CINEMA BLOG. Iliwekwa mnamo 2026-06-15.