Soumission (kwa Kiswahili: Kujitoa) ni riwaya ya mwandishi wa Kifaransa Michel Houellebecq.
Toleo la Kifaransa la kitabu hicho kilichapishwa tarehe 7 Januari 2015 kwa Flammarion.