Soumia Benkhaldoun
![]() | Makala haina vyanzo vya kutosha
Makala (au sehemu ifuatayo ya makala) inatoa habari bila kuonyesha vyanzo au uthibitisho wowote.
|
Soumia Benkhaldoun(1963) ni mhandisi wa Moroko, mwanasiasa na mwanaharakati wa haki za binadamu (usawa wa kijinsia)
Benkhaldoun ni mhitimu wa École Mohammadia d'ingénieurs chuo cha uhandisi cha moroko. alianza kufanya kazi kama mhandisi wa taifa mwaka 1986, alikua profesa katika chuo cha Ecole Superieure de Technologie Fès kati ya 1987 na 1994, na kisha katika Chuo Kikuu cha Ibn Tofail kati ya 1994 na 2006. piah amefanya kazi kama mtaalam wa maendeleo ya wanawake na shirika la ISESCO, elimu ya uislam , utafiti na maendeleo ya kitamaduni kwa kuongezea piah alikua ni seem ya taasisi mbali mbali za kutetea usawa wa kijinsia[1]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Soumia Benkhaldoun kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |