Souleymane Aw
Mandhari
Souleymane Aw (alizaliwa 5 Aprili 1999) ni mwakasoka wa Senegal.
Kazi
[hariri | hariri chanzo]Aw alianza safari yake ya soka katika timu za vijana Aspire nchini kwao. Mwaka 2017 mwezi Juni alisaini mkataba kama mwanasoka wa kulipwa.
Tarehe 14 Agosti 2019, alijiunga na klabu ya Béziers ya nchini ufaransa.
Kimataifa
[hariri | hariri chanzo]Aliiwakilisha nchi yake katika Kombe la Mataifa ya Afrika ya wachezaji chini ya miaka 20 (U-20) mwaka 2017, Kombe la Dunia la FIFA la vijana chini ya umri wa miaka 20 (U-20) mwaka 2017, Kombe la Mataifa ya Afrika la vijana chini ya umri wa miaka 20 (U-20) mwaka 2019, na Kombe la Dunia la FIFA la vijana chini ya umri wa miaka 20 (U-20) mwaka 2019.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Souleymane Aw kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |