Nenda kwa yaliyomo

Sotir Kolea

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sotir Kolea (1872–1945) alikuwa mtaalamu wa ngano za jamii (folklorist), mwanadiplomasia, na mwanaharakati wa Mwamko wa Kitaifa wa Albania.[1] Pamoja na Thoma Kacori, ametajwa kama mmoja wa Watu wa Mwisho wa Rilindas (Wanamwamko).

  1. Buda, Aleks (1985). Fjalor enciklopedik shqiptar (kwa Albanian). Akademia e Shkencave e RPSSH. uk. 486. Iliwekwa mnamo 4 Julai 2011.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sotir Kolea kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.