Soraya Tarzi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Malikia Soraya Tarzi

Soraya Tarzi (kipashto/kidari: ملکه ثريا; Novemba 24 1899Aprili 20 1968) alikuwa malkia wa kwanza nchini Afghanistan kama mke wa Mfalme Amanullah Khan.alishiriki kwa nafasi kubwa katika mapinduzi ya kisasa ya Amanullah Khan, hasa kuhusu ukombozi wa wanawake.

Alizaliwa huko Syria alisomeshwa na baba yake aliyekua msomi na kiongozi wa Afghanistan Mahmud Beg Tarzi[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Runion, Meredith L. (2007). The history of Afghanistan, Library Genesis, Westport, Conn. : Greenwood Press. ISBN 978-0-313-33798-7. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Soraya Tarzi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.