Sophia Alcorn
Mandhari
Makala hii inahitaji vyanzo zaidi ili kuwezesha kuonyesha uthibitisho. |
Sophia Alcorn (3 Agosti 1883 - Novemba 28, 1967) alikuwa mwalimu hodari aliyefumbua mbinu ya Tadoma ya mawasiliano ya watu wenye changamoto ya kusikia na kuona. Alitetea haki za watu wenye ulemavu na alipostaafu kazi yake ya muda mrefu ya ualimu, alifanya kazi na Taasisi ya Marekani ya Vipofu.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sophia Alcorn kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |