Nenda kwa yaliyomo

Sonia Opoku

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sonia Opoku (alizaliwa 25 Desemba, 2001) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa wawanawake wa kimataifa kutoka nchini Ghana anayekipiga kama kiungo wa kati katika klabu ya Misaka United inayoshiriki Ligi ya Wanawake ya India, pamoja na timu ya taifa ya wanawake ya Ghana.

Awali aliwahi kuchezea klabu ya Ampem Darkoa Ladies ya Ghana.[1][2]

  1. "Black Queens in Lagos for Aisha Buhari Tournament". Graphic Online (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2021-09-18.
  2. Association, Ghana Football. "Black Queens coach calls 38 players for camping". Ghana Fa (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-09-18.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sonia Opoku kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.