Something Necessary

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Something Necessary ni filamu ya Kenya iliyotolewa mwaka 2013 yenye matukio ya michezo mbalimbali iliyoongozwa na Judy Kibinge. Filamu hii ilioneshwa kwenye sinema inayo onekana ulimwengu mzima huko nchini Toronto mwaka 2013 kwenye tamasha la filamu la kimataifa.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-02-12. Iliwekwa mnamo 2022-08-08. 
  2. http://www.indiewire.com/article/toronto-adds-75-titles-to-2013-edition-james-franco-alex-gibney-hayao-miyazaki-sean-durkin-and-kevin-macdonald-among-them?page=2