Nenda kwa yaliyomo

Solomon Arase

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Solomon Ehigiator Arase (21 Juni 195631 Agosti 2025) alikuwa afisa wa polisi wa Nigeria. Pia alikuwa Mwenyekiti wa Tume ya Huduma ya Polisi ya Nigeria. Aliteuliwa kuwa Mwenyekiti mnamo Januari 2023 na hayati Muhammadu Buhari. Arase pia aliwahi kuhudumu kama Mkuu wa 18 wa Polisi wa Nigeria (IGP) baada kuondolewa kwa Suleiman Abba . Kabla ya kuteuliwa kuwa IGP, Arase alikuwa mkuu wa kitengo cha juu zaidi cha ukusanyaji wa taarifa za kijasusi cha polisi wa Nigeria yaani, Idara ya Ujasusi na Upelelezi wa Makosa ya Jinai.[1][2][3][4]

  1. Former IGP Solomon Arase passes away in Abuja
  2. Oyelakin, Saheed (2025-08-31). "Anxiety over reports of ex-IG Arase's death". Punch Newspapers (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2025-08-31.
  3. Vanguard Newspaper. "Jonathan sacks Suleiman Abba, appoints Arase". Iliwekwa mnamo 28 Aprili 2015.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Nnennah, Ibeh. "Meet Nigeria's new Inspector General of Police, Solomon Arase". Premium Times. Iliwekwa mnamo 10 Septemba 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Solomon Arase kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.