Solomana Kante
Mandhari



Solomana Kante (1922-Novemba 23, 1987) alikuwa mwandishi, mgeuza herufi (neographer), na mwalimu kutoka Guinea ,[1] anayejulikana zaidi kama mvumbuzi wa alfabeti ya N'Ko kwa lahaja za lugha ya Manding barani Afrika.
Kante alibuni N'Ko, maandishi ya kisasa kwa, kama alivyoyaona,[2] lugha ua Manding mwaka 1949 baada ya miaka mitano ya majaribio na mifumo mbalimbali ya uandishi. Alfabeti hii illiingizwa kwa mara ya kwanza Kankan, Guinea na baadaye ikasambazwa hadi sehemu nyingine zinzozungumza lugha ya Manding katika Afrika Magharibi
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Vydrine, Valentin (2015). Manding-English Dictionary: Maninka, Bamana Vol. 1. Lac-Beauport: s.n. ISBN 978-0-9939969-3-1.
- ↑ Vydrine, Valentin (2015). Manding-English Dictionary: Maninka, Bamana Vol. 1. Lac-Beauport: s.n. ISBN 978-0-9939969-3-1.