Sofiane Boufal
Mandhari
Sofiane Boufal (kwa Kiarabu: سفيان بوفال; alizaliwa 17 Septemba 1993) ni mchezaji wa soka wa kulipwa anayecheza kama winga au kiungo wa mashambulizi katika klabu ya Union Saint-Gilloise ya Belgian Pro League. Amezaliwa nchini Ufaransa, lakini anaiwakilisha timu ya taifa ya Morocco.[1]
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Sofiane Boufal: Overview". Premier League. Iliwekwa mnamo 29 Agosti 2019.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sofiane Boufal kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |