Nenda kwa yaliyomo

Socorro Acosta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Socorro "Coring" Olaivar Acosta (17 Novemba 1934 – 14 Machi 2024) alikuwa mwanasiasa wa Ufilipino ambaye alikuwa mjumbe wa Baraza la Wawakilishi la Ufilipino (House of Representatives) akiwakilisha jimbo la kwanza la uchaguzi la Bukidnon (Bukidnon's 1st congressional district).[1]

  1. ↑ "NEWS BRIEFS | 16 March 2024" (kwa American English). 2024-03-16. Iliwekwa mnamo 2026-02-17.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Socorro Acosta kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.