Nenda kwa yaliyomo

Sobe Charles Umeh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Umeh Charles Sobechukwu,aliyetambulika kitaaluma kama Sobe Charles Umehni mwongozaji wa filamu na mtayarishaji wa filamu kutoka Kanada-Nigeria, aliyejulikana zaidi kwa filamu kama Sorelle, Black Vision na Bad Drop, pamoja na filamu iliyoshinda tuzo ya Africa Magic Viewers Choice (AMVCA) ya 2017 Amonye Onye[1][2]

  1. Izungu, Chimduga (20 Mei 2015). "Bad Drop: Mary Lazarus, Kalu Ikeagwu's upcoming movie gets premiere date". PulseNG. Lagos, Nigeria. Iliwekwa mnamo 10 Machi 2018.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "AMVCA 2017 Complete List of Winners". DSTV. Lagos, Nigeria. 4 Machi 2017. Iliwekwa mnamo 10 Machi 2018.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sobe Charles Umeh kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.