Smail Hamdani
Mandhari
Smail Hamdani (11 Machi 1930 – 6/7 Februari 2017) alikuwa mwanasiasa wa Algeria.[1]
Aliwahi kuhudumu kama Waziri Mkuu wa Algeria kuanzia 15 Desemba 1998 hadi 23 Desemba 1999.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Index Ha". rulers.org. Iliwekwa mnamo 2026-05-17.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Smail Hamdani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |