Nenda kwa yaliyomo

Slumber Tsogwane

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Slumber Tsogwane (alizaliwa tarehe 21 Septemba 1960) ni mwanasiasa wa nchini Botswana. Alihudumu kama Makamu wa Rais wa Botswana kuanzia Aprili 2018 hadi Novemba 2024. Aidha, aliwahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Boteti Magharibi.

Katika Bunge la 12 la Botswana, Tsogwane alikuwa Mbunge aliyedumu kwa muda mrefu zaidi. Ni mwanachama wa chama tawala cha Botswana Democratic Party (BDP).[1]

  1. MMESO, PHILLIMON. "Tsogwane: The quintessential politician - The Patriot on Sunday" (kwa Kiingereza (Uingereza)). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 20 Juni 2019. Iliwekwa mnamo 2018-05-02.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Slumber Tsogwane kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.