Nenda kwa yaliyomo

Slavomir Miklovš

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Slavomir Miklovš (16 Mei 193421 Julai 2011) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki la Kigiriki la Korasya, Eparkia ya Križevci (katika Yugoslavia ya zamani, sasa Kroatia). Alikuwa Mrusyn kwa asili.

Aliwekwa wakfu kuwa padri mnamo mwaka 1964, na aliteuliwa kuwa askofu wa eparkia hiyo mwaka 1983, akistaafu mwaka 2009.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.