Nenda kwa yaliyomo

Slađana Perunović

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Slađana Perunović

Slađana Perunović-Pejović (alizaliwa 26 Machi 1984) ni mwanariadha wa masafa marefu wa Montenegro na ambaye alishikilia rekodi kadhaa za montenegro. Alishika nafasi ya 77 kati ya 118 katika mbio za marathoni za Olimpiki za mwaka 2012. Hakumaliza mbio zake za Olimpiki za mwaka 2016. [1]

  1. "Slađana Perunović".
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Slađana Perunović kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.