Skandinavia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 13:11, 8 Machi 2013 na Addbot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 110 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q21195 (translate me))
Benderea za nchi za Skandinavia (Ufini, Norwei, Iceland, Uswidi na Denmark (imefunikwa)
Picha ya angani ya Skandinavia wakati wa majira ya baridi - rangi nyeupe ni theluji na barafu inayofunika nchi yote pamoja na sehemu za bahari

Skandinavia ni eneo la Ulaya ya Kazkazini. Kwa kawaida neno linataja nchi tano za Norwei, Uswidi, Denmark, Ufini na Iceland.

Kwa njia nyingine "Skandinavia" ni nchi mbili za rasi ya Skandinavia pekee yaani Norwei na Uswidi.

Lugha za Skandinavia ziko karibu sana kati yao; zote ni Kigermanik ya Kaskazini isipokuwa Kifini ambacho ni lugha ya Kiasia.

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Skandinavia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.