Nenda kwa yaliyomo

Sizani Dlamini-Dubazana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Zephroma Sizani Dlamini-Dubazana ni mwanasiasa kutoka Afrika Kusini na mwanachama wa African National Congress (ANC).

Alihudumu kama Mbunge wa Bunge la Kitaifa kuanzia 2009 hadi 2019. Anajulikana pia kwa kuwa miongoni mwa wafuasi wa Jacob Zuma, aliyekuwa Rais wa zamani wa Afrika Kusini na kiongozi wa zamani wa ANC.[1]

  1. "Zephroma Sizani Dlamini-Dubazana". People's Assembly (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-01-31.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sizani Dlamini-Dubazana kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.