Siyanda Mohutsiwa
Mandhari
| Siyanda Mohutsiwa | |
| Amezaliwa | 1993 Botswana |
|---|---|
Siyanda Mohutsiwa (amezaliwa mwaka 1993) ni mwandishi wa kejeli (satirical writer) na mzungumzaji mashuhuri wa kimataifa kutoka Botswana.[1] Aliunda alama ya reli ya kejeli #IfAfricaWasABar ambayo ilisambaa sana mtandaoni katika majira ya kiangazi ya mwaka 2015.[2]Anajielezea kama mfuasi wa umoja wa Waafrika.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Siyanda Mohutsiwa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |