Sivas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 21:13, 24 Januari 2014 na 83.66.210.227 (majadiliano)

Sivas (Kigiriki:Σεβάστεια, Kiarmenia: Սեբաստիա, Kiajemi: Sebhasd) enzi ya Klasiko na Medieval au enzi ya kati waliita Sebastia, pia huitwa Sebastea au Sebasteia) ni jina la mji uliopo nchini Uturuki na ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa Sivas. Kwa mujibu wa sensa za Kituruki zilizofanyika mnamo mwaka wa 2007, idadi ya wakazi ilikadiriwa kufikia kiasi cha watu 296,402. Mji upo m 1,285 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Viungo vya Nje


Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Sivas kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.