Nenda kwa yaliyomo

Sister Rosetta Tharpe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sister Rosetta Tharpe (alizaliwa Rosetta Nubin, Machi 20, 1915 – Oktoba 9, 1973)[1] Alikuwa mwimbaji, mtunzi wa nyimbo na mpigaji gitaa kutoka Marekani. Alijulikana zaidi katika miaka ya 1930 na 1940 kwa kurekodi muziki wa Injili, uliojulikana kwa mchanganyiko wa kipekee wa maneno ya kiroho na electric guitar.[2][3]

  1. "Rosetta Nubin (Sister) Tharpe". The Black Perspective in Music. 2 (2): 227. 1974. ISSN 0090-7790. JSTOR 1214272.
  2. Ankeny, Jason. "Sister Rosetta Tharpe". AllMusic. Iliwekwa mnamo Agosti 11, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. McNeil, William K.; Buckalew, Terry. "Sister Rosetta Tharpe (1915–1973)". Encyclopedia of Arkansas. Iliwekwa mnamo Agosti 11, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sister Rosetta Tharpe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.