Uwanja wa Michezo wa Sinaba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Sinaba stadium)

Uwanja wa Sinaba ni uwanja wenye matumizi mengi Benon kusini mwa Afrika.Ulitumika mara nyingi kwa ajili ya mpira wa miguu,na ulitumika kama uwanja wa nyumbani wa umoja wa Benoni.Uwanja wa Benoni unabeba watu 15,000.Na ulifanyiwa marekebisho mnamo mwaka 2009 na ulichaguliwa kuwa kama uwanja wa mazoezi wakati wa kombe la dunia la FIFA Afrika Kusini.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Sinaba kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.