Simone Zaza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Simon Zaza

Simone Zaza (matamshi ya Kiitaliano: [simoːne zaddza]; (alizaliwa 25 Juni 1991) ni mchezaji wa soka wa Italia ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Hispania Valencia CF na timu ya taifa ya Italia.

Zaza alianza kazi yake huko Atalanta mwaka 2008, ambapo alikaa kwa misimu miwili,2010 alienda Sampdoria.


Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Simone Zaza kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.