Nenda kwa yaliyomo

Simon Nyakoro Sirro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Simon nyakoro sirro)
Tarehe ya kuzaliwa1963
Mahali pa kuzaliwaButiama, Mkoa wa Mara, Tanzania
TaifaMtanzania
ElimuIliboru Secondary School
Tosamaganga Secondary School
KaziAfisa wa Polisi, Diplomat
WadhifaInspekta Jenerali wa Polisi wa 10 wa Tanzania (2017–2022)
MtanguliziErnest Mangu
MrithiCamillus Wambura
Maraisi AliowatumikiaJohn Magufuli (2017–2021)
Samia Suluhu (2021–2022)
DiplomasiaBalozi wa Tanzania nchini Zimbabwe (kuanzia 19 Julai 2022)
Mtangulizi (Ubalozi)Prof. Emmanuel D. Mbennah
IdaraJeshi la Polisi Tanzania
VyeoInspekta Jenerali wa Polisi
HaliAmestaafu (Retired)

Simon Nyakoro Sirro (alizaliwa Butiama, Mkoa wa Mara, 1963) ni mwanadiplomasia aliyewahi kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania.

Mwaka 2022, aliteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe na Rais Samia Suluhu Hassan.[1][2][3][4][5]

  1. https://www.tzembassy.go.tz/ambassadors/view/simon-nyakoro-sirro
  2. https://www.dw.com/sw/simo-sirro/t-43238457
  3. https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/habari-ya-ndani/simon-sirro-huyu-ndiye-igp-aliyetamani-kuwa-padri-2850712
  4. https://www.zw.tzembassy.go.tz/about/staff/category/diplomatic-staff
  5. https://dailynews.co.tz/pm-urges-envoys-to-lure-investors-find-markets-for-tz-products/
Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Simon Nyakoro Sirro kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.