Silvio Padoin
Mandhari
Silvio Padoin (9 Aprili 1930 – 31 Oktoba 2019) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki, jimbo la Pozzuoli, Italia. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |