Nenda kwa yaliyomo

Nanenane

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Sikukuu za Nanenane)

Nanenane ni sikukuu ambayo inawahusu wakulima na wafugaji kutoka nchini Tanzania.

Jina linatokana na kwamba huadhimishwa kila mwaka tarehe nane mwezi wa nane (8 Agosti) baada ya mavuno ya kawaida zaidi kukamilika nchini kote.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nanenane kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.