Nenda kwa yaliyomo

Sikitiko Langu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sikitiko Langu

Poster ya filamu ya Sikitiko Langu
Imeongozwa na Vincent Kigosi
Imetayarishwa na Mtitu Game First Quality
Imetungwa na Mtitu G. Game, Steven Kanumba
Nyota Steven Kanumba
Vincent Kigosi
Nuru Nassoro
Ally Chaowa
Mayasa Mrisho
Imetolewa tar. 2006
Ina muda wa dk. Dakika 90
Nchi Tanzania
Lugha Kiswahili

Sikitiko Langu ni filamu ya kusikitisha inayoonyesha jinsi maamuzi mabaya yanaweza kusababisha majuto makubwa na kuvunja familia. Filamu hii inaangazia athari za usaliti na uongo katika mahusiano ya kimapenzi na kifamilia. Filamu hii ni ya mwaka 2006, ambapo iliongozwa na Vincent Kigosi na kuandikwa na Mtitu G. Game, Steven Kanumba. waigizaji wakuu ni pamoja na Blandina Chagula, Steven Kanumba, Vicent Kigosi, Mayasa Mrisho na wengine wengi.[1]

Washiriki

[hariri | hariri chanzo]
#Jina la mwigizajiJina la uhusika
1Blandina ChagulaJesca
2Ally ChahowaMch. Patrick
3Steven KanumbaSteve
4Vincent KigosiAlex
5Charles Magari (kama Charles Magali)Ezekiel
6Ndumbagwe MisayoMama Mchungaji
7Juma Mrisho
8Mayasa MrishoMaya
9Fatma MvuraMama wa Makamo
10Mohammed MwikongiBosco
11Emmanuel MyambaKing'asti
12Nuru NassoroSussy
13Dorah RedsonStellah


  1. Sikitiko Langu (Video 2006) - Full cast & crew - IMDb (kwa American English), iliwekwa mnamo 2025-08-26
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sikitiko Langu kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.