Nenda kwa yaliyomo

Sigobert Mlemavu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sigobert Mlemavu (pia Sigibert au Sigebert) (aliyefariki takriban mwaka 508 au 509) alikuwa mfalme wa Wafranki wa Ripuarian katika eneo la Zülpich na Cologne..[1]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sigobert Mlemavu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.