Sid Ahmed Belkedrouci
Mandhari

Sid Ahmed Belkedrouci (kwa Kiarabu: سيد أحمد بلقدروسي; Oujda, Moroko, 20 Desemba 1950 - 13 Agosti 2024) alikuwa mchezaji na meneja wa soka wa Algeria.
Heshima
[hariri | hariri chanzo]Binafsi
- Mfungaji bora wa michuano ya Algeria 1975 akiwa na Klabu ya MC Oran na mwenye mabao 18
Klabu
- Mshindi wa Taifa wa Ligi Ya Algeria Championnat mara moja mwaka 1971 akiwa na klabu ya MC Oran
- Mshindi wa Kombe la Algeria mara moja mwaka 1975 akiwa na klabu ya MC Oran
Kitaifa
- Mshindi Wa Medali ya dhahabu katika Michezo yote ya Africa mwaka 1978.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Tribute to Belkedrouci - mouloudia.com Ilihifadhiwa 11 Juni 2023 kwenye Wayback Machine.
- [http://www.maracanafoot.com/division-1/belkedrouci-un-temperament-d%E2%80%99attaquant/ Ilihifadhiwa 19 Julai 2011 kwenye Wayback Machine. BELKEDROUCI: Un tempérament d’attaquant
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sid Ahmed Belkedrouci kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |