Shule ya Upili ya Wavulana ya Othaya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Shule ya upili ya Wavulana ya Othaya ni shule ambayo iko katika Divisheni ya Othaya, Wilaya ya Nyeri katika mkoa wa kati. Shule hii ni miongoni mwa shule za mikoa.

WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Shule ya Upili ya Wavulana ya Othaya" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.
Nuvola apps bookcase.svg Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shule ya Upili ya Wavulana ya Othaya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.